Ni idadi ya majina ya waliochaguliwa kujiunga na chuo cha Mount Meru 2013-2014 ila hawajaandika kama na majina yaliopitia TCU yamo au hayamo japo hayo majina ni round ya kwanza na watatoa mengine hapo baadae.Kuhakiki fuatilia MMU_PLUS_SITE.
hayo majina yametoka tcu kwa sababu walitangaza kwamba waombaji wote wa bachelor degree watatumia tcu, xo kulikuwa hakuna direct application hapo mount meru... Hongera kwa wote waliochaguliwa
kuna watu hawajielewi........ wanatumia simu za mchina... halafu wanabaki ooh... mbona hatuoni... huyu muongo! kama hamna access nzuri ya internet kaeni kimya