39 dead, 361 injured during protests, KNCHR says

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
39 people were killed and 361 injured during the anti-Finance Bill protests countrywide, the Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) has said.

In a statement signed by the commission's chairperson Roseline Odede, those who lost their lives were from Nairobi (17), Nakuru (3), Laikipia (1), Narok (1), Kajiado (3), Uasin Gishu (4), Kakamega (1), Kisumu (2), Kisii (1), Mombasa (3), Siaya (1), Kiambu (1) and Nandi (1).

Additionally, the commission indicated there were 32 cases of involuntary disappearances and 627 instances of arrests of protestors

"The Commission continues to condemn in the strongest terms possible the unwarranted violence and force that was inflicted on protesters, medical personnel, lawyers, journalists, and on safe spaces such as churches, medical emergency centres and ambulances," said Odede.

The Commission has also called out protestors who destroyed and burned critical government infrastructure such as Parliament buildings and the National Library, urging them to respect the rule of law.

"Over the weekend we documented instances of open hostility, threats of violence and actual violence meted on politicians by the public. This is unacceptable, rights have obligations and we urge restraint, respect for the rule of law by all and non-violation of the rights of others," said Odede.

The Director of Public Prosecution Renson Ingonga has since warned that future acts of violence leading to loss of lives and destruction of private or public property will be met with the full force of law.
 
Those young fellas are surely knukle-heads.They have have put their old-mzee(Ruto & the coy)unto unpredictable tomorrow.
 
Tena polisi walikataa madaktari kutibu waliokua wamefwatuliwa risasi hapo mbele ya Bunge. Yani ata mmoja alieuliwa hapo mbele ya bunge alikua ni daktari alikua anajaribu kuokoa mtu aliepigwa risasi... Mimi si mwanasheria lakini ata mimi najua ni makosa ya jinai kuua daktari au kuzulia aliejeruhiwa kutibiwa.

View attachment 3031486
Terrible! Masikini.
My question is Je wandamanaji wangeligia bungeni na kukuta wabunge,.bila interventions ya poliso si wangeliua wabunge?

Nawaunga mkono Gen z lkn walipo turn kuwa violent nikawa na mashaka nao. All in all bijana wana ajenda nzuri ya watawala kijitafakari. They should resist violence
 
Sidhani kama wangeumizwa, labda makofi kidogo hapa na pale...

Kwa mfano, huyu hapa mbunge wa chama cha rais aliepigia kura mswada, aliachwa nyuma na wabunge wenzake waliotoroka kupitia underground tunnel. Alipelekwa hadi parking yenye iliokua nje ya bunge na akapandishwa kwa gari lake aende zake. Lakini pia tunaeza sema hii ni special case juu vile ni mlemavu.

20240703_000755.jpg

20240703_000849.jpg
 
Sidhani kama wangeumizwa, labda makofi kidogo hapa na pale...

Kwa mfano, huyu hapa mbunge wa chama cha rais aliepigia kura mswada, aliachwa nyuma na wabunge wenzake waliotoroka kupitia underground tunnel. Alipelekwa hadi parking yenye iliokua nje ya bunge na akapandishwa kwa gari lake aende zake. Lakini pia tunaeza sema hii ni special case juu vile ni mlemavu.

View attachment 3032080
View attachment 3032079
Vijana nawasifu. Nawaunga mkono, ila they should not turn to be hooligans! Wasiguse mali za watu, wasi harass watu, wasipige watu....... let them be on the streets to force the watawala to change their way of governance
 
Tena polisi walikataa madaktari kutibu waliokua wamefwatuliwa risasi hapo mbele ya Bunge. Yani ata mmoja alieuliwa hapo mbele ya bunge alikua ni daktari alikua anajaribu kuokoa mtu aliepigwa risasi... Mimi si mwanasheria lakini ata mimi najua ni makosa ya jinai kuua daktari au kuzulia aliejeruhiwa kutibiwa.

View attachment 3031486
Maigizo ni mengi ili tu watengeneze taswira waitskayo.
Je, hapa akari wapo wapi? Wamewezaje kumuonyesha huyo mlalamikaji mwanzo mwisho lakini washindwe kuwaonyesha hao askari wakati kwenye matukio mengine yote wanawaonyesha?
 
Video hio ilichukuliwa na cameraman wa Al Jazeera, Ndani ya hii video mwanahabari huyo anaelezea ni vipi na ni wapi aliporekodi hio video... Tafuta hapo kuanzia dakika ya pili Kwa hio video

View: https://youtu.be/vQVmTnaKIhw?feature=shared
 
Vijana nawasifu. Nawaunga mkono, ila they should not turn to be hooligans! Wasiguse mali za watu, wasi harass watu, wasipige watu....... let them be on the streets to force the watawala to change their way of governance
Wanasiasa wenyewe ikiwemo maseneta na magavana na hata Gavana wa Nairobi ambaye anatoka chama cha Rais wamekiri ni wanasiasa walio lipa wahuni kuvuruga maandamano Ili gen z wapoteze support ya jamii kwa ujumla....
Kuna hata habari flani ambapo kuna wahuni wanakiri waliahidiwa hela baada ya kuvunja maduka na bado hawajalipwa na wasipolipwa watamtaja aliewatuma wavuruge maandamano!

Siku tatu za kwanza maandamano hayakuwa na uhalifi wowote.

Alafu polisi waache kutumia nguvu kupita kiasi... Kama wanavyosema, Violence begets violence, ukirushiwa teargas na wewe umeshikilia bendera tu ukiimba, " we are peaceful ", mwishowe nawe utakasirika uaenze kurusha mawe Ili polisi waache kurusha teargas kiholela...
 
all is possible
 
Back
Top Bottom