Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,023
Hodi wana JF,
3D Press Printer/Heat Press inauzwa kwa bei poa sana, ni nzuri kwa wajasiriamali wa Stationery, Printers au yeyote anayetaka kuendesha biashara ya kuprint Promotional items k.v. Tshirts, Vikombe, Glasi, Badges, Funguo, Vitambaa, Trophies/Tuzo za vioo au mbao, Sahani, Seramic Tiles, Mouse Pads, Frame za picha na vingine vingi.
Haitumii wino, yenyewe inachoma moja kwa moja mchoro/maneno/artwork yako kwenye kitu husika chochote kama nilivyovitaja hapo. Kwa mfano Logo yako kwenye karatasi ya A4, yenyewe inatransfer picha hiyo kwenda kwenye chombo i.e. Kikombe n.k.
Kuioperate ni rahisi sana unaelekezwa dakika 2 tu hasa namna ya kuweka let's say vikombe, badge au tshirt ikaeje, joto uruhusu kiasi gani n.k. Manual yake ina maelekezo hadi ya joto la kuruhusu kwa kila kifaa utakachoprint.
Sublimation Vacuum Heat Press ST-3042
Kwa mawasiliano zaidi au kama una maswali njoo PM.
PS: vifaa hivi vililetwa kutoka Dubai na ndugu wa familia. Vyote vipo Dar.

- Can process all kinds of shapes like curved, flat or even three-dimensional surface.
- The machine can be widely used in building decoration, wedding photo studio, advertising, logo signs, corporate and personal gifts and other industries
- Can print up to 12 mugs at a time, and 4 mobile covers at a time, also print any flat item of sublimation.
Kwa mawasiliano zaidi au kama una maswali njoo PM.
PS: vifaa hivi vililetwa kutoka Dubai na ndugu wa familia. Vyote vipo Dar.
Attachments
-
received_203845706808655.jpeg97 KB · Views: 232 -
received_203845723475320.jpeg79.3 KB · Views: 213 -
received_203845753475317.jpeg78.1 KB · Views: 209 -
received_203845770141982.jpeg68.5 KB · Views: 206 -
received_203845783475314.jpeg71.8 KB · Views: 193 -
received_203845806808645.jpeg42.3 KB · Views: 206 -
2013-07-17-13-31-33-62.jpg35.9 KB · Views: 187 -
2013-09-05-14-34-39-70.jpg33.7 KB · Views: 189 -
2013-09-05-14-36-24-18.jpg28 KB · Views: 213 -
2013-09-05-14-45-08-51.jpg58.8 KB · Views: 184 -
received_175435726316320.jpeg54 KB · Views: 196 -
received_175435759649650.jpeg91.8 KB · Views: 190 -
received_190943888098837.jpeg54.1 KB · Views: 169 -
received_190943891432170.jpeg64 KB · Views: 168 -
received_190943941432165.jpeg90.7 KB · Views: 185 -
received_193593301167229.jpeg54.1 KB · Views: 167 -
received_193593311167228.jpeg54.1 KB · Views: 178 -
received_193593587833867.jpeg32.9 KB · Views: 181