Mkuu, nakushaurii uchukue Modem ambazo ni Unlocked. Ukienda kununua Modem Vodacom, Zain au Zantel, hiyou modem ni locked kwa huo mtandao. siku utakapotaka kuhama mtandao mwingine utashindwa, na hii ni very inconvenient for most of us.
Modem ambayo ni Unlocked inaingia line yoyote ile, so kujua rates kabwa sio ishu kwa sababu you are not bound to any telcom provider and can switch anytime.
Kuhusu bei, sijui. Sifahamu kama upo hapa Dar, ila ungeweza kwenda pale Milenium Towers, kuna internet cafe pale ground floor karibu na Steers, waulize kuna kipindi walikua nazo.