3M naanza kufuga kuku wa kisasa

Bal

Member
Joined
Nov 19, 2018
Posts
30
Reaction score
31
Wadau hongereni kwa ujasiliamali....

Naomba ushauri nina 3M nataka nianze ufugaji wa kuku wa kisasa.
1. Naomba kujua ukubwa na sifa kwa ujumla wa banda lake
2. Kuku wa mayai au nyama yupi analipa?
3. Kampuni inauza vifaranga bora kwa tanzania
4. Nianze na kuku wangapi (kwa kuku wa mayai wangapi na nyama wangapi)
5. Namna ya kuwapokea vifaranga
5. Mengineyo yanayoweza kunisaidia
 
mkuu, usije ukatumbukiza mtaji wote huo huko tafadhali........

kilomo/ufugaji unapoanza tafadhali sana anza kidogo kidogo, ukishasoma network na kuwa na soko ndio unaongeza spidi!
 
mkuu, usije ukatumbukiza mtaji wote huo huko tafadhali........

kilomo/ufugaji unapoanza tafadhali sana anza kidogo kidogo, ukishasoma network na kuwa na soko ndio unaongeza spidi!
Nashukuru
Lkn hiyo 3m ni pamoja na ujenzi wa banda
 
kwaio hio 3m nakushauri anza na 1m ili ukifeli hio 2m itakuwa backup yako!
Niaanza na kuku 200 nisome mchezo. Hapo ujenzi wa banda na chakula cha kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…