3rd Anniversary ya Blogu ya Wananchi, Nchi ilisimama kwa masaa kadhaa

Teh Teh....eti visingeli
 
kwi kwi kwi
miaka 30=dola 500
mwaka1= ????
 
... Eti kama ataenda Sokoto Nigeria sawa ila Dubai ajitegemee nauli... Hahahaaa, my ribs!
Hakuvaa mpensi wake kwenye sherehe?;picha tafwadhal
... Eti kama ataenda Sokoto Nigeria sawa ila Dubai ajitegemee nauli... Hahahaaa, my ribs!
Nimecheka..mungu huyu!
Hahahahahaaa MSAGA SUMU once again katika ubora wako uliotukuka.
Uwepo wako wewe na kaka yangu kipenzi popoma GENTAMYCINE humu JF kunaniongezea siku za kuishi.
Umekiona hicho kipande cha Nakuru?
jamani mbona sikuwaona ndugu zangu kwenye super anniversary,Le mbebezz super mtindizz wote wakali walikuwepo,u know me I luv bongo,masupa bilionea pia walikuwepo yaani ilikuwa Le kufwa kwa Nyani,Akili kubwa wote walikuwepo hata Le mburulazz-Im humble u Know-Le Mutuzz nation
 
Nimekumbuka, Benny alipata straight invitation kutoka kwa Akili Kubwaz baada ya kucoment kuhusu miaka 3 na miaka 10.
Yeah..Ngoja aje kutupa mrejesho..Congcong wang nae alikwepo..Sijui kama alifanikiwa kupata namba
 
Huyu jamaa bogazz sana anajiita akili kichwani pumba tupu kwa umri alikuwa nao na wadhifa wa baba yake alitakiwa kufanya kitu vya maana sio mambo ya blogs kutwa kupiga picha na zero brain girls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…