3rd round tcu selection is OUT

Gray Ze Don

Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
36
Reaction score
3
tcu wameshatoa 3rd round selection.
Angalia kupitia vyuo husika.
Mfano:Jordan (Juco) wameyaupdate tar 12 Sept
 
ukiona hivyo ujue loan bod imeiva,bado kupakuwa 2,na cc kura
 
Hiv waugwana,kama kwenye account yako umechaguliwa, na kwenye batches za chuo kile jina lako halipo na watu wameanza kuripoti chuoni, hapo inakuwaje, msaada tafadhali
 
Hiv waugwana,kama kwenye account yako umechaguliwa, na kwenye batches za chuo kile jina lako halipo na watu wameanza kuripoti chuoni, hapo inakuwaje, msaada tafadhali
ukienda chuo husika watakuregister
 
Thankx, lakini kuna tangazo kwenye web yao kwamba kuna majina mengine watatoa, yawezekana huu usajili wa sasa kwa wale tu majina yao yaliyotangazwa?
 
tcu wameshatoa 3rd round selection.
Angalia kupitia vyuo husika.
Mfano:Jordan (Juco) wameyaupdate tar 12 Sept

kweli unachosema third round zimetumwa katika vyuo husika na kwa kila aliye apply third awasiliana na chuo alichoomba atapata majibu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…