Ni hivi mkuu, kwakuwa mimi siyo mtaalamu wa engines za kwenye magari basi nitatoa mfano mdogo ambao nadhani huo utaniongoza kwenye context yangu..mkuu umesoma ulichokiandika lakini kabla ya kupost? 3S VS D4 ndio nn??
rudi tena andika vizuri na kwa makini ili ueleweke kama nimsaada utasaidiwa.