3yrs married in the Bible

3yrs married in the Bible

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Kutokana na kanisa Mary alikuwa na miaka kati ya 13 au kuminanne alipomzaa Jesus ,Je Joseph alikuwa na miaka mingapi ? Wakuu wakanisa wanatuambia alikuwa anapindukia miaka 90 ,sa inakuwaje mnamshambulia Mtume wetu Muhammad wakati tofauti ya miaka inagepu la kutisha ?
 
Tunaomba ufafanuzi zaidi ili tuweze kuelewa zaidi.
 
Kutokana na kanisa Mary alikuwa na miaka kati ya 13 au kuminanne alipomzaa Jesus ,Je Joseph alikuwa na miaka mingapi ? Wakuu wakanisa wanatuambia alikuwa anapindukia miaka 90 ,sa inakuwaje mnamshambulia Mtume wetu Muhammad wakati tofauti ya miaka inagepu la kutisha ?
Umejiridhisha kwanza kuhusu huo umri au ndiyo unaendelea kuuliza?
 
Itakuwa nimewashika pabaya ,aisee ,msijivalishe uzembe eti hapajaeleweka ,kabla sijaidadavua Genesis huko tunamkuta Isaac.
Yaani ya uislamu ni chamtoto kabisa.
 
Kutokana na kanisa Mary alikuwa na miaka kati ya 13 au kuminanne alipomzaa Jesus ,Je Joseph alikuwa na miaka mingapi ? Wakuu wakanisa wanatuambia alikuwa anapindukia miaka 90 ,sa inakuwaje mnamshambulia Mtume wetu Muhammad wakati tofauti ya miaka inagepu la kutisha ?
Hizo data umezipata wapi? Hebu lete huo ushahidi hapa, usije ukawa unaandika kutoka kichwani kwako tu!
 
Kutokana na kanisa Mary alikuwa na miaka kati ya 13 au kuminanne alipomzaa Jesus ,Je Joseph alikuwa na miaka mingapi ? Wakuu wakanisa wanatuambia alikuwa anapindukia miaka 90 ,sa inakuwaje mnamshambulia Mtume wetu Muhammad wakati tofauti ya miaka inagepu la kutisha ?
Weka reference! By the way mimba ya Yesu inajulikana hadi na Shetani jinsi ilivyotungwa na anakiri hivyo; it wasn't raping nor underage sexual intercourse anyway!
 
Back
Top Bottom