Umejiridhisha kwanza kuhusu huo umri au ndiyo unaendelea kuuliza?Kutokana na kanisa Mary alikuwa na miaka kati ya 13 au kuminanne alipomzaa Jesus ,Je Joseph alikuwa na miaka mingapi ? Wakuu wakanisa wanatuambia alikuwa anapindukia miaka 90 ,sa inakuwaje mnamshambulia Mtume wetu Muhammad wakati tofauti ya miaka inagepu la kutisha ?
Hizo data umezipata wapi? Hebu lete huo ushahidi hapa, usije ukawa unaandika kutoka kichwani kwako tu!Kutokana na kanisa Mary alikuwa na miaka kati ya 13 au kuminanne alipomzaa Jesus ,Je Joseph alikuwa na miaka mingapi ? Wakuu wakanisa wanatuambia alikuwa anapindukia miaka 90 ,sa inakuwaje mnamshambulia Mtume wetu Muhammad wakati tofauti ya miaka inagepu la kutisha ?
Weka reference! By the way mimba ya Yesu inajulikana hadi na Shetani jinsi ilivyotungwa na anakiri hivyo; it wasn't raping nor underage sexual intercourse anyway!Kutokana na kanisa Mary alikuwa na miaka kati ya 13 au kuminanne alipomzaa Jesus ,Je Joseph alikuwa na miaka mingapi ? Wakuu wakanisa wanatuambia alikuwa anapindukia miaka 90 ,sa inakuwaje mnamshambulia Mtume wetu Muhammad wakati tofauti ya miaka inagepu la kutisha ?