wacha uongo hii ni phase 2APhase 3 wakati nyie mpo phase blah blah blah!
mbaya ni kwamba mchina anasuasua kutoa funds za Phase 2BPewa relief babaa
Mbona povu! Mimi nime uliza swali tu.. naomba jibu mwasiti, Je mkimaliza hii phase mta anza process za kuomba mkopo tena au mtapumzika kukopa kidogo.Phase 3 wakati nyie mpo phase blah blah blah!
Alooo!! Kwa hiyo kuna 2Bwacha uongo hii ni phase 2A
hehehe,huyu bwege umemuwezaaaa😀Pewa relief babaa
Swali langu hujaliona..Mbaya zaidi ni kuwa bado mnazungusha vibakuli kujaribu kuanzisha ujenzi wa phase 1 yenyu.
Nchi yangu ishajenga SGR. Tanzania haijajenga SGR yake bado na huo ndio ukweli. Pelekea kina Geza Ulole ama ichoboy01 povu.Swali langu hujaliona..
Hehee... huo ujenzi una time frame? utafika lini Kampala? Usisahau kuweka na picha..Nchi yangu ishajenga SGR. Tanzania haijajenga SGR yake bado na huo ndio ukweli. Pelekea kina Geza Ulole ama ichoboy01 povu.
Hehehee... tuma picha msee, Madaraka express ikiwa kwenye mwendoHongereni bombardier kuwasili Nchini Tanzania natumai itakuwa ya faida kwa Wananchi.
Ndiyo hamna funds inabidi phases zivunjwevunjwe zaidi maana Mchina kapatwa na hofu ya kutoa fedha baada ya Mganda kutoonesha commitment name SGR ya diesel.Alooo!! Kwa hiyo kuna 2B
Kenya Uganda doing joint coordinated survey on the SGR routeHehee... huo ujenzi una time frame? utafika lini Kampala? Usisahau kuweka na picha..
Hahaa.. sasa hapo mbona huja jibu swali langu! Project gani isiyo kua na time frame, its like you are flying blind! I am sad and sorry for Ug, Uhuru is not in the Pro league of Magu & Kagame one can easily tell by the look of his face leave alone his acts. Uganda anachezwa by a conist grp called Uhuruto. I hope realisation comes sooner for M7 and he joins hands with Men and leave the Uhuruto boys with their childish games of "diesel electrical"Kenya Uganda doing joint coordinated survey on the SGR route
Now show us your pics of Tz doing anything like that
View attachment 729868