4 day's left Kitambulisho cha Taifa

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Nimepambana Weeeh Nimesimama sana tu lakini naona mambo hayaendi na siku Ndio hizo zinakwea

Jamani Tusishangaane KUANZAI TRH 20
Tukifanya miamala majina yakaja ya kike wakati mtu na wa kiume
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili zoezi wasipo tizama kwakina watakuwa wanatia maji gunia


AlamSikki..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…