Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa klabu ya Simba hasa baada ya kuwapata John Bocco, Erasto Nyoni, Aishi Manula na Shomari Kapombe na kuanza kulinganisha na tangazo la 3 Mzuka ukilinganisha na mwenendo wa timu waliotoka.
Kifupi " Simba ikishinda, Azam nayo imeshinda "!!!???