FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #341
FL1 nahisi uko na valuer pembeni hapo si kawaida haya majibu unayotoa leo ni kama vile memba ISC
Unategemea aseme ndio??
ha ha ha ha ha ha habari za asubuhi The Finest ? naona tumesahau kujuliana khali .
Nasema Hapana RR..umesoma PM yako leo
mummy let me tell u ladies,najua a perfect man hata siku moja hawezi ku react kwa manamke kwa kumpiga,hata kama umemkosea the best way is kuongea,sasa mimi mwanaume akinipiga namuhesabu kama hajakamilika,and you guys hakuna kitu ladies tunachukia kama kupigwa ni unyanyasaji,mbona nyie mkikosea hatuwapigi? mi mtu akinipiga walahi hata kama siwezi kuishi bila yeye itabidi nijifunze na ntakusaha maishani mwangu damn!
inategemea amekulabua kwa sababu gani sometimes wanawake wanasababisha kulabuliwa. Unaweza kuulizwa swali ukaja juu kama moto wa kifuu na kwa sababu wenzetu huwa hawezi kuchonga kama sisi ndio anaamua kukulabua moja la nguvu na kushtukiza ili utulie muanze kuongea kwa utulivu. Some time huwa isaidia (lediiis na mamisez mtanisamehe)
me sitaki mambo ya kulabuana kwani akisema bila kunilabua atakufa?