4 wheel drive ya kukodi kwa siku 10 pamoja na dereva

4 wheel drive ya kukodi kwa siku 10 pamoja na dereva

theprogrammer C++

Senior Member
Joined
May 17, 2013
Posts
106
Reaction score
226
Wazee naomba msaada nahitaji gari nzuri 4 wheel drive tunataka kukodi tarehe 17 mwezi huu kutoka Dar mpaka sumbawanga na kurudi. Safari itakua ina vituo mbali mbali kama morogoro,mikumi,mbeya pamoja na sumbawanga. Tutakua mimi na Mgeni wangu.

Dereva awe mzoefu na proffesional. Mwenye nayo ni pm tuongee pamoja na bei.
 
Back
Top Bottom