theprogrammer C++
Senior Member
- May 17, 2013
- 106
- 226
Wazee naomba msaada nahitaji gari nzuri 4 wheel drive tunataka kukodi
Tarehe 17 mwezi huu kutoka Dar mpaka sumbawanga na kurudi. Safari itakua ina vituo mbalimbali kama Morogoro, Mikumi, Mbeya pamoja na sumbawanga. Tutakua mimi na Mgeni wangu.
Dereva awe mzoefu na proffesional. Mwenye nayo ni pm tuongee pamoja na bei.