theprogrammer C++
Senior Member
- May 17, 2013
- 106
- 226
Nadhani muda wa Atenza kufanya road trip.
Ooh kama 4WD ngoja nitulie niendelee misele ya mjini Dar.Huko swax ni rough road kwanini utake 4wd
Tumpe hardtop prado sx5 ila anapewa gari tu dereva atafute siwezi kuchoma siku kumi nazurura tu😀😀Ooh kama 4WD ngoja nitulie niendelee misele ya mjini Dar.
Au The Monk unasemaje
Engineer Mad Max atupe mchanganuoKwenye huo uwanja Sina la kusema kiongozi. Hata hivyo naona kama tangazo limepwaya Kwa kukosa baadhi ya taarifa muhimu.
Nashauri wajaribu kwenye makampuni yanayokodisha magari.
Nimejikuta nataka kuelewa zaidi kuhusu tofauti ya 4X4, AWD na 4WD
What is the difference between AWD, 4WD and 4x4?
What is AWD and what is the difference between AWD and 4WD? Find out in our article, where we will also explain 4x4 driving.www.adrianflux.co.uk
Dereva nitaliendesha hapa..Tumpe hardtop prado sx5 ila anapewa gari tu dereva atafute siwezi kuchoma siku kumi nazurura tu😀😀
Hilo apo manualDereva nitaliendesha hapa..