Hakuna kitu hapo ni uhuni tu, ili ni jini ambalo tulilikaribisha pasipokujua mwisho wake itakuwaje.Toka nizaliwe nilikuta malalamiko ya kuwa Zanzibar inanyonywa lkn nikiangalia kwa makini Zanzibar ndiyo inanyonya Bara.Na kwanini pande zote mbili hazitaki kuweka wazi makubaliano waiyokubaliana na yanatekelezwaje, kwa sasa naona kila upande unanyofoa kipande tu ambacho pengine hakikutekelezwa.Wabunge kutoka Zanzibar wapo pale kujadili mambo yote ya kibunge yanayohusu Muungano.
Wapo kwa ajili ya kuwawakilisha Wazanzibari kwenye Muungano
Makabila yote, akikaa mkurugenzi wa kabila fulani kwenye Wizara basi upendeleo unakuwepo kwa staff wa kabila ile.
Kwani Tanganyika wanayo bendera??
Ulikuwa hujui mkuu???
View attachment 1756252
Hoja yako ya Kwanza:
Hii bendera ni ya sehemu ipi Kwani???
Hoja ya Pili:
Nilikuwa najua TRA uwanda wake wa kazi ni mpaka Zanzibar ila sio kwenye non Union matters ndo maana sijaelewa utofauti kati ya ZRB na TRA!!!
Umenielewa au?
ZRB ina apply Zanzibar pekee, lakini TRA ni Tanzania nzima.
Jifunze kidogo kupitia hii link[emoji116]
Kama TRA haifanyi kazi Zanzibar huu mfumo wa kuimarisha ukusanyaji mapato wa kazi gani?Mfumo TANCIS kutumika Zanzibar kuimarisha ukusanyaji mapato - Mtanzania
Mtanzania Mfumo TANCIS kutumika Zanzibar kuimarisha ukusanyaji mapato -mtanzania.co.tz
Na hii ilikuwa ni 2018/2019 walipotambulisha mfumo wa TANCIS.
Hapo hapo sasa ngoja nikuweke sawa, Kontena lenye mzigo limeingizwa Zanzibar, je Mfanyabiashara halipii ushuru wa Forodha TRA? Jibu analipaThe Zanzibar Revenue Board (ZRB) was established under the ZRB Act No. 7 of 1996 as the prime agency of the Government of Zanzibar for collection and administration of all taxes from Inland Revenue sources other than customs, excise and income taxes that are administered by the Tanzania Revenue Authority (TRA). ZRB became operational since July 1998.
TRA:
The Tanzania Revenue Authority (TRA) was established by Act of Parliament No. 11 of 1995, and started its operations on 1st July 1996. In carrying out its statutory functions, TRA is regulated by law, and is responsible for administering impartially various taxes of the Central Government.
Hapo hapo sasa ngoja nikuweke sawa, Kontena lenye mzigo limeingizwa Zanzibar, je Mfanyabiashara halipii ushuru wa Forodha TRA? Jibu analipa
Then mzigo ule ule uliolipiwa ukiuchua Zanzibar kuupeleka Dar es Salaam, utakutana tena na TRA wanataka kodi.
Bado ni kwamba ZRB inafanya kazi Zanzibar pekee na TRA inafanyakazi Tanzania nzima (Zanzibar - sehemu ya Tanzania) then mtu akinunua mzigo Zanzibar kwenda nao bara anakutana na TRA tena (Mzigo umetoka Zanzibar - nje ya Tanzania)
View attachment 1756650
(Wabunge wanafiq CCM) Faida kwa Wazanzibari hawana itakuwa kwa bara? πUmedadavua vizuri mkuu, je wabunge kutoka Zanzibar wanafanya nini Dodoma nisaidie tujue faida zao kwa bara.
Huna unachojuaAcha uongo, tra ukusanye mapato znz alaf yote yaachwe znz basi itakua tra yenu ya kikundi cha majambazi
[emoji115]Sasa kama fedha zote zinazokusanywa na TRA Zanzibar zinatumika Zanzibar kwanini ukusanyaji huo usifanywe na ZRB pekee ambayo ndio iko Zanzibar? Ili mapato hayo yatumike Zanzibar ili kuondoa mzizi wa fitina?Huna unachojua
Fedha zote zinazokusanywa na TRA Zanzibar hubaki Zanzibar (huchukua SMZ); halafu wakati huo huo ambapo fedha zote hubaki Zanzibar, mishara ya watumishi wa TRA Zanzibar (wengi wao wakiwa wazanzibari) na fedha ya uendeshaji wa ofisi ya TRA Zanzibar inatoka TRA Head Office (Tanzania bara)
Zanzibar ni kupe
Sasa mgawanyo wa mapato kwa TRA upande wa Tanzania (Tanganyika na Zanzibar unakaaje) wakati mgawanyo wa ZRB Unatumika Zanzibar pekee?? Je huoni kwamba Mapato ya Bara kuendeleza Zanzibar bila ya sababu ya Msingi kwa mgongo wa Muungano?
(Wabunge wanafiq CCM) Faida kwa Wazanzibari hawana itakuwa kwa bara? π
Huna unachojua
Fedha zote zinazokusanywa na TRA Zanzibar hubaki Zanzibar (huchukua SMZ); halafu wakati huo huo ambapo fedha zote hubaki Zanzibar, mishara ya watumishi wa TRA Zanzibar (wengi wao wakiwa wazanzibari) na fedha ya uendeshaji wa ofisi ya TRA Zanzibar inatoka TRA Head Office (Tanzania bara)
Zanzibar ni kupe
Kwan bakhresa yeye anamawazo gani juu ya hili
[emoji115]Sasa kama fedha zote zinazokusanywa na TRA Zanzibar zinatumika Zanzibar kwanini ukusanyaji huo usifanywe na ZRB pekee ambayo ndio iko Zanzibar? Ili mapato hayo yatumike Zanzibar ili kuondoa mzizi wa fitina?
[emoji116]
Mkuu unaumia sana, fedha za TRA Zanzibar hazizidi hata 20% ya stahiki ya Zanzibar ya mgao wa Muungano.
Hakuna kitu kama hicho, kwa mantiki hii hakuna pato la bara linalotumika visiwani. Kwa maana kama ulivyosema mapato, kama mapato yanayokusanywa na TRA Zanzibar yanatumika Zanzibar sasa mapato yepi ya bara yanayoliwa hapo?Zanzibar anakula cha TRA pamoja na ZRB [emoji16]