mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Pungufu kivipi yani? Bei au kasoro ya Tv?Ungetaja kabisa na mapungufu yake ili mteja aamue kusuka au kunyoa
Sijawai tumia TCL sijui kakaIla tcl inauzwa lako NNE na nusu,..nini kipya kweny ii,..!?
Hapo umesema mapungufu kidogo labda mimi sikuelewa je ni TV inamapungufu kidogo au umemaanisha hiyo bei inapungua kidogo?Tv hii imetumika chini ya uangalifu mkubwa sana.
Iko katika hali nzuri kwa bei nafuu sana
0786371108
Gharama ya kuuzia naanza 660,000/= ila mapungufu kidogo tunaongea.
Yaani kwenye bei apo mapungufu kidogo yapo.Hapo umesema mapungufu kidogo labda mimi sikuelewa je ni TV inamapungufu kidogo au umemaanisha hiyo bei inapungua kidogo?
Msasani Dar es salaamUnapatikana wapi?
vipi nikitaka kuja kuionaMsasani Dar es salaam
0786371108vipi nikitaka kuja kuiona
Vipi kuhusu ubora??... maana nyingine huonekana nzuri na bei ndogo lakini hazidumu.TCL inchi 43 laki 4 na nusu mpyaaa na ukitaka unaletewa mpaka nyumbani. Hiyo ya kwako utapata shida sana kuuza otherwise umpate mtu asiyejua kabisaa bei ya hivi vitu..!!
Vitu vyote vya umeme kaka ni matunzo,ukiitunza inadumu vizuri sana!Vipi kuhusu ubora??... maana nyingine huonekana nzuri na bei ndogo lakini hazidumu.
TCL inchi 43 laki 4 na nusu mpyaaa na ukitaka unaletewa mpaka nyumbani. Hiyo ya kwako utapata shida sana kuuza otherwise umpate mtu asiyejua kabisaa bei ya hivi vitu..!!
Okay ni wazo lako pia siwezi kataa kwa maana umelitoa kulingana na upeo wako.TCL inchi 43 laki 4 na nusu mpyaaa na ukitaka unaletewa mpaka nyumbani. Hiyo ya kwako utapata shida sana kuuza otherwise umpate mtu asiyejua kabisaa bei ya hivi vitu..!!
Anapatikana kwenye nyimbo ya HARMORAPA NUNDUunaweza kuniuzia huyo wa ndani tu tv ukabaki nayo?