johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumbuka route nyingi zaidi ni kutoka ama kwenda Dar, kwa vyovyote Dar iko juu sana ukilinganisha na mikoa iliyobaki.Sasa unawabishia atcl?
Kilimanjaro wanaipenda Precision Air ya Shirima!
Abiria wa Dsm wa Atcl wengi huenda Mwanza.
Kwani Mwanza ikiwa na 40% ndio mshindi?!Kumbuka route nyingi zaidi ni kutoka ama kwenda Dar, kwa vyovyote Dar iko juu sana ukilinganisha na mikoa iliyobaki.
Ili ATCL ipate soko, wameua Fastjet. Ili uwanja wa Songwe usishindane na huo wa Mwanza, wamegoma kuweka taa ili ndege zitue usiku au wakati wa ukungu. Wamegoma kuhakikisha jengo la abiria linakamilika. Bado kuna banda la muda tu.Hii taarifa inaonyesha jinsi jiji la Mwanza lilivyo na mchango mkubwa sana katika uchumi wa taifa.
Ni wakati sasa wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa zaidi katika jiji la Mwanza kwa faida kubwa ya taifa letu.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Vitu vingine tuwe tunachanganya za zetu,kwamba 60% pekee kwa mikoa yote ambako ATCL inaenda,Mambo ya awamu hii ni kujitoa ufahamu kumfurahisha mtawala.Hii taarifa inaonyesha jinsi jiji la Mwanza lilivyo na mchango mkubwa sana katika uchumi wa taifa.
Ni wakati sasa wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa zaidi katika jiji la Mwanza kwa faida kubwa ya taifa letu.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Hapana mshindi ni ukweli tu unatakiwa hapa.Kwani Mwanza ikiwa na 40% ndio mshindi?!
Hahahaaaaa........mapembelo!Na Njombe.
Sasa unawabishia atcl?
Kilimanjaro wanaipenda Precision Air ya Shirima!
Abiria wa Dsm wa Atcl wengi huenda Mwanza.
Hiyo ya kwenda Shinyanga wanajua wao tunachozingatia walikata tiketi ya Dsm to Mwanza!Tuwe makini na tumaanishe tunachokisema, 40%ya wateja wanashukia Mwanza wakiwa njiani kwanda Shinyanga, Geita,Bukoba ,Mara na kwingineko Mwanza as Hub not destination.
Mkuu kwan jengo la abiria la Mwanza limekamilika tayari?Ili ATCL ipate soko, wameua Fastjet. Ili uwanja wa Songwe usishindane na huo wa Mwanza, wamegoma kuweka taa ili ndege zitue usiku au wakati wa ukungu. Wamegoma kuhakikisha jengo la abiria linakamilika. Bado kuna banda la muda tu.
Maendeleo hayana kanda!
Unadhani abiria akikata tiketi anasema naenda Mwibara?Umeongea kusiasa, hujaongea kitaaalam Kwa hiyo unataka umaaanishe kuwa huwa inawabeba watu Wa Mwanza tu? Acheni siasa bhana, sasa ikishawabeba wa Mwanza Halafu inawapeleka Mwanza tena? Labda ungeongeza na huo Mkoa wanakoshushwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bukoba si wana airport inayopiga kazi hata usiku....Tuwe makini na tumaanishe tunachokisema, 40%ya wateja wanashukia Mwanza wakiwa njiani kwanda Shinyanga, Geita,Bukoba ,Mara na kwingineko Mwanza as Hub not destination.
Abiria wengine convience yao ni usiku. Uwanja hauna taa. Ukiwa na taa abiria wataongezeka bila shakaMkuu kwan jengo la abiria la Mwanza limekamilika tayari?
Halafu kutokuwa na taa ndipo kunafanya abiria wa songwe wabadiri mawazo na kuja Mwanza
Kumbuka route nyingi zaidi ni kutoka ama kwenda Dar, kwa vyovyote Dar iko juu sana ukilinganisha na mikoa iliyobaki.
Amekosea kuelezea ndiyo maana watu wanashindwa kuelewa. Angesema hivi: Route ya Dar-Mwanza-Dar ndiyo yenye abiria wengi! Lakini yeye kasema ni wakazi wa Mwanza! Kwa nini asiseme ''route ya Dar-Mwanza, which make sense kwa sababu ndiyo majiji makubwa Tanzania ?Hamjuamuelewa! Alisema katika route za ATCL hapa nchini 40% ya wateja wake wanatumia route ya Mwanza Airport. Na ni kweli kama ATCL wanaroute tatu kila siku kwenda na kurudi Mwanza na zinajaa na anasema wanataka waongeze route moja zaidi.