Washauri nini wakati mnajua kila kitu na hampangiwi?Hilo linawezekana kwa kuwa ama maji ya lake victoria yawafate Wagogo au Wagogo wayafate maji ya lake victoria......wanasayansi na wachumi watashauri!
ukipongeza mwanza, pongeza kahama, geita na musoma (ambako kuna migodi na watu wenye pesa). watu wakazi wa mwanza pale ni wachache sana wanasafiri kwa ndege, hao unaowaona wanasafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa mwanza ni wafanyakazi migodini kahama geita na mara, pamoja na kwamba wapo wafanyabiashara wachache. ukweli ndio huo hivyo pongeza migodi na acha ukanda na ukabila. pusi we.
Kwani kampuni Ina basi moja? Mfano kampuni ya mangi wa BM coach Ina mabasi zaidi ya 50 Ni bilions ngapi hapo?
Vipi ndege za precision ni ma bilion mangapi? Hahaha ukitaka kupambana na kina bwashee ujipange vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio maskini wa mwisho, kampuni ina miaka 10 unasema biashara ya kimaskini? Unajua bei ya basi moja la Marcopolo wew mnywa ulanzi?Hawa watu wa kuburumiwa tu. Buashara ya mabasi ni ya kimaskini sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Nina biashara zingine sio za mabasiMbongo shida kweliUnakuta kwenu hakuna hata ka-vitz!
Shingo imekukakamaa na povu jingi kama mgonjwa wa kifafa
Sema kabisa mimi Monchen Mmsaai wa kaskazini mashariki nina miliki mabasi ya Isamilo Express ijulikane sio kuvimba bichwa kwa mali za watu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji kupimwa akili kabisa, precision air sio ndege? Kampuni ina ndege karibu kumi zinaenda hadi comoros na sycheles unasema sio ndege?Zile za Precision unaziita ndege?!
Zile za kuendea mbugani zilizoshindwa kubeba msiba wa Mengi kwa mara moja ikabidi zitoke zote na waombolezaji hawakuwa zaidi ya 100?
Bora hata ile ndege ya Masha kuliko huto twa Shirima bwashee!
Bwashee ATCL wanahangaika na hiyo ndege moja ya Lau Masha wala hawana habari na hicho kikampuni chenye miruko ya kubeba barua na parcel kama mabasi ya Champion ya Dodoma.Unahitaji kupimwa akili kabisa, precision air sio ndege? Kampuni ina ndege karibu kumi zinaenda hadi comoros na sycheles unasema sio ndege?
Masha Ana ndege gani? Kale kamoja ka fastjet? Hahaha kanapiga route gani? Hahaha wacha niendelee kunywa hainken yangu hapa machame lyamungo maana unachekesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siyo mnywa ulanzi mbuzi wewe.Wewe ndio maskini wa mwisho, kampuni ina miaka 10 unasema biashara ya kimaskini? Unajua bei ya basi moja la Marcopolo wew mnywa ulanzi?
Kiufupi sekta ya usafiri tumeishika na tunalipa Kodi kubwa tunawezesha nchi kupata mapato wewe biashara unayoweza Ni kuuza ulanzi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ndege za kunyunyuzia dawa zibebe abiria hadi comoros? Précision air inatua bukoba,mwanza,kia,Arusha,na ZanzibarBwashee ATCL wanahangaika na hiyo ndege moja ya Lau Masha wala hawana habari na hicho kikampuni chenye miruko ya kubeba barua na parcel kama mabasi ya Champion ya Dodoma.
Hahahaa......zile ni videge vya mbugani au kunyunyizia dawa mashambani sema meku Shirima alijiongeza tu na kuanza kubeba wachagga!
Hahahaaa........ Sasa hivyo vi fokker vya abiria 26 kama Coaster ndio unaita ndege bwashee?!Hahaha ndege za kunyunyuzia dawa zibebe abiria hadi comoros? Précision air inatua bukoba,mwanza,kia,Arusha,na Zanzibar
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda Mwanza kutoka wapi?fazili,
Hamjuamuelewa! Alisema katika route za ATCL hapa nchini 40% ya wateja wake wanatumia route ya Mwanza Airport. Na ni kweli kama ATCL wanaroute tatu kila siku kwenda na kurudi Mwanza na zinajaa na anasema wanataka waongeze route moja zaidi.