45 things a girl want, but won't ask for...

mkubwa my take hapo ni kwamba hyo co culture ya wa africa!,mpango mzima unaweza happen na kufanikiwa huko europe,asia,south n north america + australia!,hapa kwe2 africa dah bdo yani co sana

Agreed, 100%. Watu wapunguze kuangalia sana video...
 
mbona list fupi sana mi ninayo kama 125 hivi ya kufanya...sio kumaliza yote siku moja weka kwa mafungu hata kama alivoweka mwandishi kila siku fungu moja easy
 
huyo mwanaume atakuwa amebarikiwa kuliko wanaume wote duniani WAla hawezi kupatikana tanzania labda wazungu
 
huwa nayatizama kwenye tamthilia za kifilipino na latina america wewe utafanya kaz sa ngap? Mmekua kuku na jogoo? Haiwezekani nabisha

watu bana. tatizo wengine wamezoea mapenzi ya kuku. kudakana fastafasta na ndo maana wanawake wengi hawafiki mwisho wa mambo. hivi ukimbusu,ukimbembeleza na kumwambia unampenda lazima uwe ulaya ndo uweze sema aala.. mbona wakati wa kuzengeazengea wanaume mnakua fasta kukamata viuno, kunong'oneza kutekenya, iweje ukishaoa eti udai haiwezekani? acheni hizo. kumtambulisha kwa marafiki zako lazima iwe tamthilia??
kuwa upande wake ikiwa wengine wamemnyanyapaa wewe hadi uwe ulaya. kaazi kwelikweli.
 
Kwa hiyo huyo mwanaume kama yupo basi atakuwa mzugu?
Wewe bana! Ngoja nisiseme tu!
huyo mwanaume atakuwa amebarikiwa kuliko wanaume wote duniani WAla hawezi kupatikana tanzania labda wazungu
 

Umesahau ki2 kimoja very important **** her nicely, make sure anafika orgasm
 

kisasangwe ntakutafuta mida inaonekana we mkale wa hii mambo! Utaniweza kweli mdada mie!
 
ingepndza kama 2kiongeza la 46 tht mwnaume mwny uchu wa maendeleo..las hvyo hayo 45hapo juu yatakua ni kama kuulizia makof police..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…