45 things a girl wants but wont ask for:

Man if u can pull the above off, the girl will love u like she has never loved anyone before! I mean she will love u completely bila kuacha kitu! Those small small things always impress women!
 
ngoja niyajaribu haya mambinu, maana uhusiano wangu unalegalega
 
Man if u can pull the above off, the girl will love u like she has never loved anyone before! I mean she will love u completely bila kuacha kitu! Those small small things always impress women!

Mbona mi siwafanyiagi hayo mavitu lakini they keep on loving me. Ufundi jamani, sio blabla, ndiyo msingi wa kuwakamata hawa watu. Hayo mengine ya kizungu, waachieni wazungu wenyewe.
 
Nilikuwa najaribu kufikiri kwa sauti kubwa though!

Umechanganua vizuri kulingana na mazingira yetu,kwa hapo nakukubali,sidhani kama unaweza ukafanya yote haya perfectly! Big up!
 
na vitu gani 45 ambavyo mwanaume hataomba/hatauliza kwa mpenzi wake???
nadhani kujiexpress(tiGO) itakua kwenye top 3!!, believe me or not hahahaaaaaa, ngoja mkuu Fidel atakuja kujustify hapa.

gosh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

hapo vip hapo sawa
 
Hivi vyote muhimu na usipofanyiwa inabidi umuulize wala hakuna haya ya kuuliza. Wadada wa siku hizi hatuna aibu ya kuuliza, raha ya mapenzi uwe muwazi kwa mwenzio.
 
Mapenzi ya kihindi hayo...au film ya kihindi...
 
Wasichana wa kitanzania bana wanataka hivi......
1,mpigie kila anapokubeep...
2.mtumie vocha kila siku....
3.chipsi kuku kila jioni....
4.weka dvd za kanumba na wenzake za kutosha nyumbani...
5.kuwa na magazeti ya udaku ya kutosha...
7.nenda nae out za kibongo,ambazo ni bar maarufu yeyote.
8.hakikisha una mwanamke mwingine ili warushane roho na vijembe..
9.mpeleke kwenye taarab,
10.mfuate na gari.
 
Technically hizi ndio wish list.. When reality comes-in and ring the bell, then all the grapes turns sour.

Reality is a bit..i mean a female dog.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…