Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
asilimia 45 ya wanawake na wasichana wafanyakazi nchini kwenye ofisi mbalimbali zikiwemo za serikali wamepata kazi hizo kwa kutoa rushwa ya ngono imeelezwa..
Source:?45% wanawake, wasichana wamepata kazi kwa ngono?
na ww umekubaliana na hiyo habari?tupe uzoefu wako!
So for them its ok, right?Wanapata utamu mara mbili; ngono na kazi
Inasikitisha sana. Kama ni hivyo, basi tumepotea sana kimaadili.
asilimia 45 ya wanawake na wasichana wafanyakazi nchini kwenye ofisi mbalimbali zikiwemo za serikali wamepata kazi hizo kwa kutoa rushwa ya ngono imeelezwa..
Source:?45% wanawake, wasichana wamepata kazi kwa ngono?
wakimiliki wakaka haiwi nongwa ila wadada ndio mnachonga mpaka mapovu yanawatoka.jiulize kwa mishahara gani madadazi wetu wanamiriki magari ya kifahari?
Sasa unashangaa nini,ebu chungulia majukwaa ya mapenzi,mambo ya kikubwa uone michango yao.Ngono ngono tu
Sasa unafikiri mtu kama Maria Roza kwa hilo mbona nadhani kwake ni poa tu
sishangai hata kidogo,wanataka mambo ya simple simple tu hata vyuoni ni wachache wanaoangaisha vichwa,wengi ni kutegemea vya bure na kutoa viwiliwili