468 wafutiwa uanachama wa NHIF kwa udanganyifu

Hamduni

Senior Member
Joined
Apr 25, 2020
Posts
172
Reaction score
118
468 WAFUTIWA UANACHAMA WA NHIF KWA UDANGANYIFU

Na Mwandishi Wetu

Katika kupambana na udanganyifu unaofanywa na wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wasio waaminifu jumla ya wanachama 468 wa mikoa mbalimbali wamefungiwa uanachama wao kutokana na kubainika na matumizi mabaya ya kadi zao.

Aidha wanachama husika walitakiwa kurejesha gharama zote zilizotokana na matumizi ya vitambulisho husika na jumla ya Shilingi 112,625,366.07 zimesharejeshwa.

Haya yako katika taarifa mbalimbali za NHIF zinazoonesha namna Mfuko huo unavyopambana na suala hilo.

“Ili kuhakikisha mapambano dhidi ya udanganyifu yanaendelea Mfuko unaendelea kuimarisha mifumo ya ndani ya TEHAMA ya uchakataji madai ili kuweza kuzuia na kugundua vitendo vya udanganyifu mapema pamoja na kushirikiana na vyombo vingine vya dola kama Polisi na TAKUKURU,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Mfuko umekuwa ukifanya chunguzi mbalimbali kwa watoa huduma, waajiri, wanachama na watumishi wa ndani ambapo kwa upande wa Watumishi jumla ya Watumishi 17 wa Mfuko walifukuzwa na kazi kutokana na kushiriki vitendo hivyo.

Akizungumzia suala hili Meneja wa Kitengo cha Kudhibiti Udanganyifu cha Mfuko Dk. Rose Ntundu amesema, ni moja ya majukumu ya Mfuko kudhibiti udanganyifu na Mfuko unachukua hatua kwa wanaobainika ikiwa ni pamoja na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
 
Na wale watumishi waliokwangua pesa za mfuko kwa ajili ya matumizi yao binafsi, hao watafutwa lini?
 
Aaaaaah, wakule tuuu, roho zishakua sugu.
 
Udanganyifu HOW??? Mbona taarifa imekaa kifamba famba sana???
Wanafanyaje udanganyifu huo?????
 
468 WAFUTIWA UANACHAMA WA NHIF KWA UDANGANYIFU

Na Mwandishi Wetu

Katika kupambana na udanganyifu unaofanywa na wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wasio waaminifu jumla ya wanachama 468 wa mikoa mbalimbali wamefungiwa uanachama wao kutokana na kubainika na matumizi mabaya ya kadi zao.

Aidha wanachama husika walitakiwa kurejesha gharama zote zilizotokana na matumizi ya vitambulisho husika na jumla ya Shilingi 112,625,366.07 zimesharejeshwa.

Haya yako katika taarifa mbalimbali za NHIF zinazoonesha namna Mfuko huo unavyopambana na suala hilo.

“Ili kuhakikisha mapambano dhidi ya udanganyifu yanaendelea Mfuko unaendelea kuimarisha mifumo ya ndani ya TEHAMA ya uchakataji madai ili kuweza kuzuia na kugundua vitendo vya udanganyifu mapema pamoja na kushirikiana na vyombo vingine vya dola kama Polisi na TAKUKURU,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Mfuko umekuwa ukifanya chunguzi mbalimbali kwa watoa huduma, waajiri, wanachama na watumishi wa ndani ambapo kwa upande wa Watumishi jumla ya Watumishi 17 wa Mfuko walifukuzwa na kazi kutokana na kushiriki vitendo hivyo.
Akizungumzia suala hili Meneja wa Kitengo cha Kudhibiti Udanganyifu cha Mfuko Dk. Rose Ntundu amesema, ni moja ya majukumu ya Mfuko kudhibiti udanganyifu na Mfuko unachukua hatua kwa wanaobainika ikiwa ni pamoja na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.

Waende mahakamani. Serikali hii vipi? Wale wao tu siyo? Kwani wale watuhumiwa wa cag wameshatema mzigo?
 
Uchunguzi huo haujaanza leo boss, sawa mkuu. Unataka wajiteteaje wakati watu walikipatia huduma kwakughushi nyaraka za hospitali. Acha mihemuko[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajamaa ni wapuuzi unaenda kutoa taarifa kuwa mtegemezi kafa wamtoe wao wanaleta mlolongo mrefu sijui nije na barua ya mwenyekiti wa mtaa
 
Uchunguzi huo haujaanza leo boss, sawa mkuu. Unataka wajiteteaje wakati watu walikipatia huduma kwakughushi nyaraka za hospitali. Acha mihemuko[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

"468 wafutiwa uanachama wa NHIF kwa udanganyifu"​

Kwamba wamepewa hukumu ya kifo kwa kosa (lolote lile) na chombo ambacho siyo mahakama?

NHIF ni chombo cha umma siyo chombo binafsi ndugu. Huo ni ubaguzi ambao katiba ya nchi inakataza.

Wawahi mahakamani. Huko ndiko haki hutamalaki.
 
Sawa mkuu😂😂😂
 
Sawa mkuu😂😂😂

Usawa huo siyo wangu bali wa katiba ya nchi, mjomba vinginevyo "rules of the jungle" ndiyo ingekuwa mwendo.

NHIF wenyewe ndiyo hawa?

FtP5ui9WwAAcX6v.jpg

Au wengine ndugu?
 
Back
Top Bottom