Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why not recommended?Can also be flashed to be used for ALL NETWORKS (Not recommended)
Not recommended kaka, ukitaka sbb labda waje wajuzi wa haya mambo. Mi najua kutumia tu. [emoji1666]Why not recommended?
Je kuna madhara yeyote? kwenye hiki kifaa iwapo utaondoa network lock {Unlock}.
Sawa mkuungoja waje.
ukitaka sbb labda waje wajuzi wa haya mambo. Mi najua kutumia tu.
Kwa manufaa ya wengi hapa JF, iko hiviJe kuna madhara yeyote? kwenye hiki kifaa iwapo utaondoa network lock {Unlock}.
Ahsante kwa ufafanuzi mkuuKwa manufaa ya wengi hapa JF, iko hivi
Hakuna madhara yeyote kwa kuondoa network lock (Unlock) katika kifaa husika.
Faida za kuondoa Network lock (Unlock)
Ushuhuda
- Unakiongezea thamani kifaa husika, kivipi, nakupa mfano kifaa locked waweza uza 80,000 ila kifaa unlocked waweza uza kwa 120,000.
- Unaweza kutumia mtandao wowote hapa nchini au nje ya nchi iwapo utasafiri.
#1 - Nime_unlock vifaa vingi (simu na hizi wifi device hapa) : Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number
#2 - Mimi binafsi natumia 4G Router ya TTCL, nimeondoa network lock, hivyo kuweza kutumia mtandao wowote ule, Router niliyoifungua ni hii hapa pichani
View attachment 1939766
Bado ipo
.
Call: 0717 650800