Kwa manufaa ya wengi hapa JF, iko hivi
Hakuna madhara yeyote kwa kuondoa network lock (Unlock) katika kifaa husika.
Faida za kuondoa Network lock (Unlock)
- Unakiongezea thamani kifaa husika, kivipi, nakupa mfano kifaa locked waweza uza 80,000 ila kifaa unlocked waweza uza kwa 120,000.
- Unaweza kutumia mtandao wowote hapa nchini au nje ya nchi iwapo utasafiri.
Ushuhuda
#1 - Nime_unlock vifaa vingi (simu na hizi wifi device hapa) :
Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number
#2 - Mimi binafsi natumia 4G Router ya TTCL, nimeondoa network lock, hivyo kuweza kutumia mtandao wowote ule, Router niliyoifungua ni hii hapa pichani
View attachment 1939766