Acha Dhambi Senior Member Joined Oct 19, 2010 Posts 145 Reaction score 41 Jul 18, 2011 #1 naitaji flushi ya 4gb mwenye kuziuza wasiliana nami taja na bei
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Jul 18, 2011 #2 sijajua kama unamaanisha flashdisk na hii lugha 'flushi' imeidhinishwa na tuki au bakita kuwa kiswahili chake? Pia eleza iwapo unataka nyingi kwa ajili ya biashara au moja ya kutumia
sijajua kama unamaanisha flashdisk na hii lugha 'flushi' imeidhinishwa na tuki au bakita kuwa kiswahili chake? Pia eleza iwapo unataka nyingi kwa ajili ya biashara au moja ya kutumia
JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,935 Reaction score 3,346 Jul 18, 2011 #3 nipo nazo kwa sh 17000
Acha Dhambi Senior Member Joined Oct 19, 2010 Posts 145 Reaction score 41 Jul 19, 2011 Thread starter #4 JoJiPoJi said: nipo nazo kwa sh 17000 Click to expand... wasiana nami kwa 0769431643