Haroun jotham
Member
- Dec 1, 2011
- 49
- 2
Naskia Mulugo kabadilsha dat ya kufanya mtian wa 6 ni ile ile. Imean wa2! Wana jamvi heb say somthing
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haroun, me pia nimeckia hvo bt y wanatufanyia hvo?
Kwa sasa nyaraka na ratiba zilizoko shuleni zisilete utata wowote. RATIBA YA FEBRUARI ifuatwe ile ya mwezi wa tano ipigwe chini. Sasa vijana pigeni msuli wa kufa mtu, maana pepa sasa iko njiani inakuja. Muda mlionao sasa unatosha kabisa kwenu nyie kujiandaa vema kwa ajili ya mitihani hii.
Acheni kujipa moyo. Paper mwezi wa tano.