Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Tunakubali
Lengo la Samia ni kutaka kuponya uchumi,jamii,mashirika na siasa ya Tanzania lakini mambo yamekwenda mrama pale anapoonekana hayupo tayari kuiruhusu demokrasia anayohubiri dhidi ya chuki ya awamu iliyopita Bado anayaendeleza ya mtangulizi wake,kaonesha gap kubwa la kiutawala kama anavyojimumbafai huko duniani.
Ikiwa maandamano na mikusanyiko yote ni haki ya kikatiba na Rais ametuhakikishia kuilinda na kuitetea katiba,ni jambo gani linamfanya kuivunja na kuikanyaga katiba?
CCM Ni ile ile kura haiwezi kuwa ni nguvu ya kuiondoa CCM madarakani.