Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojiaTunakubali
Lengo la Samia ni kutaka kuponya uchumi,jamii,mashirika na siasa ya Tanzania lakini mambo yamekwenda mrama pale anapoonekana hayupo tayari kuiruhusu demokrasia anayohubiri dhidi ya chuki ya awamu iliyopita Bado anayaendeleza ya mtangulizi wake,kaonesha gap kubwa la kiutawala kama anavyojimumbafai huko duniani.
Ikiwa maandamano na mikusanyiko yote ni haki ya kikatiba na Rais ametuhakikishia kuilinda na kuitetea katiba,ni jambo gani linamfanya kuivunja na kuikanyaga katiba?
CCM Ni ile ile kura haiwezi kuwa ni nguvu ya kuiondoa CCM madarakani.
Ni unafiq wa Kizanzibari.Tunakubali