4Rs za Serikali ya Rais Hassan wa Tanzania ni nini na kwa ajili ya nini na ili iweje kutokana na nini? Lipi anaweza kujivunia hadi sasa?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Ukipewa akili tumia akili ipasavyo na kwa faida ya wote na kwa muktadha mpana wa kitaifa kwa manufaa ya Jana, Leo na Kesho.

Je, kwani Tanzania kulikuwa na kitu gani? Kilifanywa na nani kwa ajili ya nani, kwa mnufaika yupi na muathirika yupi?

Rais Hassan aliwaza nini kuhusu 4RS mpango kazi wake ukoje? Nani anaratibu hizo 4Rs na je zina akisi nini katika nyanja ya siasa na mshikamano wa kitaifa, utulivu, uhuru, amani na haki katika Taifa?

Wazo la 4Rs chachu yake ilikuwa ni nini? Zina maendeleo gani mpaka sasa? Mawanda ya 4Rs ni yapi?na mipaka yake ni ipi?

Je, Tupo kwenye nyakati ambazo mtu anaanzisha mradi wake mwenyewe, rasilimali zote anazo na anashindwa mwenyewe kwa mafunaa yake na hasara yake mwenyewe.?

Na je, itaandikwa zama za 4Rs uchwara, babaifu, sanifu, hadaa, laghai, uzushi, usanii?

Endelea kutafakari je, 4Rs zenye mazingira ya ubabe kisiasa, utekaji, kupotea, zenye vifo Mithili ya Ally Mohammed Kibao?

Je, 4Rs zitabainisha mafanikio yapi?

Tumieni akili kutafakari kila safari ina mwendo, ina muda, na ina mwisho.

Tukutane kwenye comments

Wadiz
 
Kipindi anaingia madarakani aliikuta nchi ipo kama ilivyo sasa ndio maana akaja na 4Rs
 
Msilete vurugu Kwa Kisingizio Cha 4Rs mtanyooshwa Hadi mshangae
 
Back
Top Bottom