4th round by tcu!

4th round by tcu!

Jamaaa una wasiwasi sanaa hayo matokeo uliyotutajia yatakuwa ya kwako, ushaur; subir st. John wakitoa majina yao, kama hutokuwepo nenda moja kwa moja tcu watakuambia nn cha kufanyaa! Nimehesabu post(thread) kama nne(4) zote za kwako watu wanakujibu lakin uridhikii, jielewe mkubwaaa! Overrrrrr xxL
 
Subr watakupeleka st john mbona una presha sana ww!Tulia chuo umeshapata.
 
vp hukufanikiwa kuangalia kupitia airtel yatosha??jibu then nitarud

yaaa! Yatosha ilikata stimu kabla hajaona kjarib saa 4 jpil asubuh akaa admission successfully wait final approval. Jamaa akahaha tangu hapo mbka le. Du!
 
Back
Top Bottom