4th round selected applicants t.c.u

Said mayazi

Member
Joined
Sep 24, 2011
Posts
10
Reaction score
1
Waliochaguliwa round ya 4 na TCU kujiunga na vyu o mbali mbali nchini hatima yao kuhusu mikopo itakuwaje?mimi ni mmoja wao na niliambiwa kama sipo kwenye ile orodha ya waliokosea kujaza fomu itabid nisubiri!msaada wana jamvi kama kuna mtu mwenye tatzo kama langu na mwenye uelewa juu ya hili
 
Mimi niliomba mkopo mapema sana lkn sikuomba TCU na nimeomba wakati huu je? Kuna uwezekano?
 
dah uwezekano upo mkuu xema dead line ilikuwa leo?nov 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…