4th round transfer for universty thru cas 2013/14

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Majina kwa mwenye tetesi walioomba kubadili vyuo yanatoka lini?au kwa mwenye any info plz tupia..2peane taarfa ili na waliokule kijijini wapate taarfa ambapo hakuna taarfa
 
unauhakika kijijini hakuna taarifa?
 
Majina kwa mwenye tetesi walioomba kubadili vyuo yanatoka lini?au kwa mwenye any info plz tupia..2peane taarfa ili na waliokule kijijini wapate taarfa ambapo hakuna taarfa

unataka upewe tetesi au taarifa sahihi? Wenye tetesi ni wengi, watakudanganya tu. Be patient time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…