Wadau, nina Toyota Hilux model KUN125 ya mwaka 2015.
4WD ilikuwa haijatumika kwa zaidi ga mwaka, then siku ilipotumika, iling'ang'ania kwenye 4LO, Baadae ikanasuka but kkawa ina blink 4LO MIL, na haikubali tena kuengage 4WD, switch kko sawa, tatizo nahisi itakuwa Motor.
Yeyote mwenye msaada wa jinsi ya kupima na kurekebisha hizi mota, msaada please.