Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kilichotokea Taifa leo, iwe ni funzo kwa vilabu vyetu vyote nchini, kwamaba mafanikio ya timu ya mpira wa miguu ni uwekezaji sahihi kwa wachezaji na miundombinu rafiki kwa wachezaji, na umahiri wa mipango, mafunzo, uhusianao mwema na mbinu za mwalimu wa soka kwa timu husika.
Viongozi wa vilabu sikilizeni na kufuata mapendekezo ya mwalimu wa soka katika timu husika. Gharama zisiwe kikwazo ndio uwekezaji wenyewe huo.
Maneno maneno na majigambo yasiyo na tija, yabaki tu pale karume kwenye kahawa na kashata.
Ramli na ushirikina vifanyike kama utani huko mtaani, kwani havina tija wala msaada kuendeleza soka la bongo kimataifa.