5/11/2023 - Leo katika Historia, Yanga yaibuka na ushindi wa bao TANO (5) katika derby ya Kariakoo, Unakumbuka nini kabla ya mchezo siku hii?

5/11/2023 - Leo katika Historia, Yanga yaibuka na ushindi wa bao TANO (5) katika derby ya Kariakoo, Unakumbuka nini kabla ya mchezo siku hii?

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Tarehe kama ya Leo mabingwa wa nchi, Young africans sc, Yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam, Ilifanikwa kutoa somo na onyo kali kwa kumkung'uta kichapo kikali mpinzani wake katika derby ya Kariakoo,

Je ulitazama mchezo ukiwa wapi siku hii? Hisia kabla ya mchezo zilikuwaje na ulipokea vipi matokeo?





Bango-la-yanga.jpeg
 
Binafsi nilikuwa banda umiza mkoani hukooo! Baada ya goli la Musonda kusawazishwa na Kibu kuna shabiki mmoja akasema " sasa ngoja show za mnyama zianze" 😀 Nikasema hapa kazi ipo, mara pap! Max, Mara pap! Aziz ki, Mara pap! Max! Nikaona Huyo shabiki wa 5imba kainuka anataka kuvunja TV anasema izimwe 😀 pakaibuka vurugu kali sana pale! kuja kuwasha TV ngoma inasoma mnara wa 5G!
 
ulikuwa wapi siku ya mchezo na ulipokea vipi matokeo? 😀
Nilikuwa kibanda umiza. Ibrahim Baka alizingua sana, maana angemuacha tu jamaa apite, naamini Diara angefanya save
 
Mnahamisha magori ,
Halafu mwambien mobeto apunguze dozi kijana kazin kwake kunachacha
 
Back
Top Bottom