MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
ulikuwa wapi siku ya mchezo na ulipokea vipi matokeo? π
ulitarajia hizo 5 kurudishwa?
Nilikuwa kibanda umiza. Ibrahim Baka alizingua sana, maana angemuacha tu jamaa apite, naamini Diara angefanya saveulikuwa wapi siku ya mchezo na ulipokea vipi matokeo? π
HahahaNilikuwa kibanda umiza. Ibrahim Baka alizingua sana, maana angemuacha tu jamaa apite, naamini Diara angefanya save
Yote hii ujiponye maumivu Mkuu. ππ