5 Drinks That Help You Calm Down

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Stressful day? Don't reach for a candy bar. Try one of these soothing liquids instead.

© Michael Blann/Digital Vision/Thinkstock

1. Drink a glass of milk.
It contains tryptophan, which as it is metabolized is converted to mood-boosting serotonin. Plus, its calcium, magnesium and potassium content may help keep blood pressure down.

2. Drink hot cocoa. Warm drinks raise your body temperature—a feeling we associate with comfort, so it triggers a similar response in our brains.

3. Order black tea instead of coffee. A study by University College London shows that drinking black tea four times a day for six weeks lowered the stress hormone cortisol after a stressful event.

4. Drink green tea—packed with theanine, which increases the brain’s output of relaxation-inducing alpha waves and reduces the output of tension-making beta waves.

5. Drink a glass of cold water, then go for a walk outside. The water gets your blood moving and the air invigorates by stimulating the endorphins that de-stress you.

Source: 5 Drinks That Help You Calm Down on Shine
 
thanx.ila mie mwenzenu ´mvivu sana wa kunywa maji maziwa ndio nakunywa kama paka.
 
thanx.ila mie mwenzenu ´mvivu sana wa kunywa maji maziwa ndio nakunywa kama paka.
Jitahidi kunywa maji japo kwa siku nzima unywe maji Lita 5 inasaidia sana kulifanya Figo lako lifanye kazi vizuri mwilini na damu kusafishika vizuri na mwili wako kuwa na nguvu maji yana faida nyingi katika mwili wa Binadamu unaweza kunywa Maji na Maziwa Fresh Ya N'gombe ukaishi bila ya kula chakula kingine.
 

Hapo Blue iko kazi mkuu, na hasa kama hufanyi kazi za nguvu kwenye joto.
 
hiyo lita tano kaa umekosea mkuu

unatakiwa unywe maji gilasi 6 hadi 8 ambayo ni kama lita moja na nusu hadi mbili
 
Dah nilifikiri valuu na konyagi zimo kumbe hazimo
 
hiyo lita tano kaa umekosea mkuu

unatakiwa unywe maji gilasi 6 hadi 8 ambayo ni kama lita moja na nusu hadi mbili
unajuwa unatakiwa Umwambie mtu kwa hikima ukimwambia Mtu anywe Maji Glasi 6 au 8 atakaunywa kwa wakati mmoja unatakiwa umwambie atumie Lita 5 za maji kwa siku yaani kwa masaa 24 ndio ataona umuhimu wa maji mwilini mwake ukimwambia eti anywe maji Glasi 6 Au 8 kwa siku ataona kama ni mchezo tu mkuu asante
 
Hapo Blue iko kazi mkuu, na hasa kama hufanyi kazi za nguvu kwenye joto.
inawezekani kwa siku nina maana ya masaa 24 ndio siku moja mfano Asubuhi ya leo mpaka kesho Asubuhi unaweza mtu kunywa hizo lita 5 za maji ukiwa kama una afya nzuri. kwa mfano maji Glasi 3 ni sawasaw na Lita moja je Lita 5 ina glasi ngapi za maji ya kunywa? ni glasi 15 Je utashindwa kunywa maji kwa masaa 24 Glasi 15?
 
Asante sana mzizimkavu hivi kitu mbadala ya maziwa ni nini niliacha kunywa maziwa tangu niko 5 years old mpaka sasa kuna kitu nakosa?
 
Asante sana mzizimkavu hivi kitu mbadala ya maziwa ni nini niliacha kunywa maziwa tangu niko 5 years old mpaka sasa kuna kitu nakosa?
Bestlady pole, mi nikikosa maziwa, nimefariki aisee
Kuna viini lishe ambavyo vipo kwenye maziwa na pia waweza pata kwenye vyakula vingine.
 

anatakiwa anywe gilasi 6 hadi 8 kwa masaa 24.

hikma na false information wapi kwa wapi bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…