5 reasons why Mombasa port deal with China is illegal πŸ˜‚πŸ‘€

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Hivi wakenya mbona wamekosa akili kiasi hiki?

Msomeni huyu mkenya mwenzenu akili yake ilivyo kushoto, eti the deal was illegal so they can't take over the port? What do you mean? Are you wanting to say you scammed Chinese money or something?

Nyie mtajifariji tu deal ilikua illegal lakini masaa ya mchina yakifika ndio mtajua mbivu zipi na mbichi ni zipi
 
Ng'ombe(Kenya) atakunuwa tu maji licha ya kelele za chura(Tanzania). Maoni na fikra za kisiasa za mtu binafsi unaanika humu kama taarifa kamili., poleni watani., you are in a hole.
 
Ha ha ha mchina ni mtu makini sana mkuu
Hawa jamaa sijui ni stroke ya ubongo imewapata au vipi, wanaongea mambo ya ajabu kweli, huko tweeter kuna msiba wa kitaifa
 
Corrupt kenyans
 
Ng'ombe(Kenya) atakunuwa tu maji licha ya kelele za chura(Tanzania). Maoni na fikra za kisiasa za mtu binafsi unaanika humu kama taarifa kamili., poleni watani., you are in a hole.
Pata vidonge hivyo
 
Huyu ni jamaa fulani tu kutoka mtaani, he is not an authority to utter somethng and taken into account. Huyu ni ulevi tu wa mtaani unamsumbua. subiri uone Mandarin speaking people watakavyofanya endapo kweli nchi ita default kulipa deni.
 
Corrupt kenyans
Ndio tatizo la 10% and business as usual

Ukiangalia value for money kwenye hiyo SGR ni ZERO kabisa sijui hizo pesa nyingine walipeleka wapi, unaeza kuta pesa ya project ni 60% hiyo 40% watu wameweka mifukoni saivi janga ni kwa nchi nzima.

Corruption in Kenya ipo Mars
 
Huyu ni jamaa fulani tu kutoka mtaani, he is not an authority to utter somethng and taken into account. Huyu ni ulevi tu wa mtaani unamsumbua. subiri uone Mandarin speaking people watakavyofanya endapo kweli nchi ita default kulipa deni.
Sasa wenye caliber ya huyo jamaa ndio wengi kama sio wakenya wote waliopo hapa JF, wanajifariji kwenye hamna
 
Hawa jamaa sijui ni stroke ya ubongo imewapata au vipi, wanaongea mambo ya ajabu kweli, huko tweeter kuna msiba wa kitaifa
Stroke ya ubongo imekushika wewe, tweeter ndio nini? πŸ˜€πŸ˜€
 
Ng'ombe(Kenya) atakunuwa tu maji licha ya kelele za chura(Tanzania). Maoni na fikra za kisiasa za mtu binafsi unaanika humu kama taarifa kamili., poleni watani., you are in a hole.

Soon utajua ni nani ng'ombe kweli nani chura kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…