5 secrets to making him love you

Wengine wana matatizo yao toka hukoo kwenye familia zao, au mtu karithi mitabia, hata afanyiwe nini nibure.
 
Wengine wana matatizo yao toka hukoo kwenye familia zao, au mtu karithi mitabia, hata afanyiwe nini nibure.
Thanks dia,u nailed it,.very few men can appreciate and hold on to what they have..hata uwabebe,ts just the same..enjoy while it lasts,na kuomba Mungu tu.
 
Yani we acha tu shosti...yani kupelekana sijui beach..mara kushikana shikana na kubembelezana naishia kuchungulia kwenye tamthilia mtaa wa pili!

Ala, kumbe unataka akufanyie kama unavyoona kwenye tamthiliya???
 
Haah!! mimi nilidhani hawa jamaa (wachungaji na mapadre) huwa wanaficha siri za malalamiko yanayopelekwa kwao kuhusu migogoro ya ndoa kumbe hakuna kitu? Nadhani sasa kuna haja ya kuacha kwenda kuwaomba ushauri.
 
Duuh! hizi comments za Tracy, na Mamushka, zinaonyesha kuwa wameshajikatia tamaa. Tatizo kubwa la kina dada ni kudhani kuwa wanaweza kumkubali mwanaume halafu wambadilishe tabia au mapungufu ambayo hawayapendi wakati wanawabali. Kwa ufupi ni kwamba huwezi kumbadilisha tabia mtu mzima (awe mwanaume au mwanamke) unachotakiwa kufanya ni kumkubali yeye na tabia zake kama zilivyo. Kama bado unadhani kuwa utambadilisha jua unaota ndoto za mchana.
 
Kazi yooote ya nini changamka wende Rozana Tigo buku jero voda nyongeza kupigika huku tuliko pigika humaindi kupenda au kupendwa mwana!

Du! hiyo nimeipenda kumbe VODA haina thamani!!
 
Thanks dia,u nailed it,.very few men can appreciate and hold on to what they have..hata uwabebe,ts just the same..enjoy while it lasts,na kuomba Mungu tu.

Nikweli kabisa mungu tu asaidie.
 
Haah!! mimi nilidhani hawa jamaa (wachungaji na mapadre) huwa wanaficha siri za malalamiko yanayopelekwa kwao kuhusu migogoro ya ndoa kumbe hakuna kitu? Nadhani sasa kuna haja ya kuacha kwenda kuwaomba ushauri.

Nakweli, kama mambo yenyewe ndo hayo bora kesi zisiwaendee tena kwani wanakiuka sheria. Hawana hekima wala kutunza siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…