Salaam wakuu.
Nahitaji kuingia business venture na mtu yeyote kwenye trading.
Order-ipo na guaranteed by 100%.
Initial capital TZS 10M:
Ninayo TZS 5M.na nahitaji mtu mwenye TZS 5M,atakayekuja wa kwanza ndie atakayefikiriwa akiwa wa kwanza.
Biashara inafanya kazi.Utahitajika kuwepo au mwakilishi wako kuona kila kitu kinavyokwenda
Malipo ni kila baada ya siku 30.
Profit margin baada ya taxes na running costs: 15%
Biashara itakuwepo kwa miezi 4 tu starting March 2013:
Risks zote ziko insured lakini hazizidi 2%.
Biashara iko mkoani Mbeya na mkoa mwingine 1.
Kama una maswali niulize kwa PM na nitakujibu au nitakutumia email.
KARIBUNI