warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Baada ya kuwa na bifu na mmoja kati ya watu wenye ushawishi mkubwa nchini marekani Oprah winfrey,50 cent akaamua kumpa mbwa wake jina la oprah,kama hiyo aitoshi akampa paka wake jina la gayle ambaye ni rafiki wa kiume wa oprah.kitendo hicho kilimkera oprah lakini baada ya kama mwaka kupita,siku moja oprah alimualika 50 cent katika kipindi chake cha oprah winfrey show na alimuuliza "nasikia mbwa wako unamuita jina langu." Unaambiwa acha jamaa apepese macho hadi akashindwa kumuangalia usoni oprah,dah akawa anaona noma,akajitetea pale kuwa "unajua mimi nakuzimia ndio maana nimempa mbwa wangu jina lako.hata hivyo mwisho wa siku bifu likaisha wakapeana miking