... na ni ipi hiyo huwa beef ya maana Julius??
Hujajibu swali Steve...
umeniuliza kama naiona hii kuwa ni beef ya maana, au siyo?!
Kama swali ndiyo hilo, sijajibu kwani hamna pahali niliposema hivyo. Ndiyo maana sikusita kuendelea na swali jingine kupata ufafanuzi wa maana halisi ya 'beef ya maana au ile isiyo ya maana' kutoka kwako.
Jay wount respond to any of this, he think he is bigger than all that dissing ish (not realising that its part of the culture), see how he ignored 'the Game' after the dis track 'am so wavy', game even did tshirts branded DOH (death of Hova), I would love to see how he would fair in a diss, knowing how weak his flows are nowadays.
Heheheh album ya 50 imeshatoka/inatoka lini?
Ilitoka jana Nov 16th nasijapata leak hata moja.. I think hiyo album iotakuwa kali kushinda BP3