50 Cent: P. Diddy, Rick Ross Na Steve Stout Wote Ni Mashoga

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
50 Cent amechukizwa na mahasimu wake wa ngoma za rap na kuamua kufichua mambo yanayoendelea kwa baadhi ya mastaa watajika.

Kwa kupitia mtandao wake wa Instagram, staa huyu aliweka picha inayowaonyesha Rick Ross, P Diddy na Steve Stout katika sura isiopendeza ya kuashiria mapenzi ya jinsia moja.

Katika picha mbili alizoziweka 50 Cent zimemuonyesha P Diddy katika sheti ya pinki akikumbatiwa na Steve Stout ambaye pia alikuwa na sheti ya pinki. Picha nyingine imemuonyesha P Diddy akiashiria tendo la kumbusu Rick Ross kwa upande fulani wa kamera.


Katika picha hio aliambatanisha na maneno haya:

"I ain't saying nothing, but something ain't right. Lmao."

Muda mfupi baadaye 50 Cent aliweza kuifuta post hio......

LMAO

Chanzo: bkuHABARI Blog
 
with all due respect kwa 50 hamna ukweli hapo just the picture tu,wame exaggerate tu na hio rick ross na p.didiy inawezekana walikuwa wanapeana hug jukwaani.
 
50 muziki unaanza kumshinda siku hizi...
 
mziki hamna tena kwa senti hamsini...
 
with all due respect kwa 50 hamna ukweli hapo just the picture tu,wame exaggerate tu na hio rick ross na p.didiy inawezekana walikuwa wanapeana hug jukwaani.

With all due respect bulaza r u pdidy,rick Ross o the dude scout?
 
hahah kwa sababu sitaki kuamini kamaa hicho kitu kinawezekana kwa watu hao

Hahahahhaa kinawezekana kaka trust me but mostly kwa watu Wa media ni bust tu hawana jipya they wanna make headlines tu
 
hahah kwa sababu sitaki kuamini kamaa hicho kitu kinawezekana kwa watu hao

Kaka huu mzgo wa didy kuwa na skendo hiyoo imeanza kitambo sana...me somtym naamin jamaa anamegwa
 
Awapi stori tu na ukipenda kuzijua unajaza mambo yasio muhimu kwenye ubongo akat watu wengine hawajui ata hao nikinani?
 
50 cents ni kawaida yake ku-create stunts akikaribia kutoa albamu lzm agombane na wengi ili kuipa kick albam yake.
 
Hivi kundi lao G-unit bado linaexist?...i missed them tony yayo n lloyd banks
 
Fitty about about to release an alnbum, anatafta publication
 
50 kuna namba anaweza gusa si Diddy aiseee! atakuwa ameshapiga magoti kumuomba radhi mtu mzima diddy kama PNC na ustaz wake!!
 
P did hamna labda huyo bwanyenye Rick ross,!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…