50 cent yupo mbioni kutoa mkanda wa kivita uitwao "the pursuit" --hili ni simulizi fupi la mkanda hu

50 cent yupo mbioni kutoa mkanda wa kivita uitwao "the pursuit" --hili ni simulizi fupi la mkanda hu

jozzb

Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
87
Reaction score
20
9.jpg

50 cent yupo mbioni kukamilisha mkanda wake wa kivita uitwao "THE PURSUIT" kupitia kampuni yake iitwayo "Cheetah Vision Films" Mkanda huu wa kivita unaoongozwa na mwongozaji mahiri "Jessy Terrero" unahusu harakati za komamdoo 50 cent ambaye anaungana na askari kadhaa kumsaka mtu mmoja aliekuwa... KWA HABARI ZAIDI <<BOFYA HAPA>>
 
kwa mujibu wa producer wake,tayari imeshaanza kusambaa.ila kulikuwa na utata sana juu la jina la hii movie "things fall apart"

ikumbukwe kwamba chinua achebe ni mnaigeria alie andika kitabu chenye jina kama hili, hivyo aliamua kuwashitaki na kuwataka wabadili jna.kampuni iliomba impe dollar million 1 ili wasibadili jina,lakini chinua alikataa.mwisho wa siku jina limebadilika na inaitwa "all things fall apart"
 
umenifurahisha hilo neno 'mkanda', nimekumbuka mbali sana,lol! last wknd nimeangalia final destination 6, it was a 3D. niliteseka manake hadi mwisho miguu inauma kwa kufunga breki!ukisema mkanda wa vita tena,nachoka kabisa!
 
Hii ndio amefanya featuring na ******??????
Duh!!!
 
So mmshikaji wetu wa pale magogoni alikua kule kwa ajili ya ku-shoot scene za hiyo filamu nini?
Ye part yake ilikua inahusu nini?
Maana hata hajakaa kivita vita!!!
 
m'kwere ndani ya nyumba, mtamuona ndiye dereva wa 50 cents
 
Back
Top Bottom