50 Cents dissing Rick Ross

Icadon

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2007
Posts
3,581
Reaction score
193
Naona Fif is at it again...this time he is dissing Lil Wayne, Rick Ross and Dj Khalid.
Sikiliza hapa
 
Huyu 50 cent naye ana mambo ya kijima, Mwili Mkubwa akili Kisoda. Haya mambo ya ubabe yalishapitwa na wakati. Watu sasa hivi wanafikiri ni jinsi gani ya kwenda kuishi Mars yeye ndio kwanza yupo kwenye uwimbi na Uwimbombo.
 
Both of their tracks suck anyways. Kuntakinte ukiona hivyo ujue album ya Fif inakaribia kutoka lol.
 

Naona Fif ameamua kwenda another notch


Rick Ross alianza kwa kusema,

Baada ya 50 Cents kujibu, Ross akaja na jibu hili

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…