50 People Who Are Sorting Out Tanzania

50 People Who Are Sorting Out Tanzania

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
1. Dr. Wilbroad Slaa - For sorting out list of shame
2. John Pombe Magufuli - For sorting out illegal fishing
3. Said Mwema - For sorting out grand organized robbery
4. Tundu Antipas Lissu - For sorting out mineral plunder
5. Dr. Asha-Rose Migiro - For sorting out Internatinal image
6. Prof. Benno Ndulu - For sorting out fiduciary inefficiency
7. ...

--------------------------
'GIVE CREDIT WHERE IT IS DUE'
 
Last edited:
Adam Lusekelo my favourite columnist for his wit and telling it as it is
 
zito kabwe kwa kuongea kile anacho amini na sio kile watu wanachopenda
 
Mkuu Mwanakijiji kwa kutolala kuhakikisha wakina mama hawafi wakati wa kutuleta duniani! Mungu akubariki!
 
JF Moderators/ founderz kwa kuleta hiki kitu ambacho honestly kimesaidia katika mambo mengi. Kuelimisha, kuhabarisha etc. Keep it up...
 
HONESTLY (soma kwa sauti) - There is no one who is even trying to sort out our Country - wote tuna-NUKA RUSHWA na NI WEZI - Ukweli ndio huo. Kuanzia graveyard digger mpaka uongozi wa juu kabisa!
 
....11. Wana JF Wote kwa ujumla, wakiongozwa na Invisible..
 
Hasheem Thabeet, for placing Tanzania in the sports map

'Nasaba ya Nje' umenikumbusha yule dada wa Nancy Sumari, anaitwa nani vile - Nakaaya? Hakika huyo na Hasheem wanastahili kuwa kwenye orodha hii!
 
wakulima ambao wanaendelea kulima hata pale tunapowahujumu katika kununua bidhaa sokoni, hata pale mvua isiponyesha na serikali kushidwa kuwapa ruzuku.
 
Majaji, Mahakimu na wanasheria wa Serikali kwa kuendesha kesi za mafisadi katika hali ngumu, vitisho na kukosa vitendea kazi.
 
Waalimu.. these are the real people that are changing Tanzania. In real way. we need more...
 
HONESTLY (soma kwa sauti) - There is no one who is even trying to sort out our Country - wote tuna-NUKA RUSHWA na NI WEZI - Ukweli ndio huo. Kuanzia graveyard digger mpaka uongozi wa juu kabisa!

You have the right to remain silent. Anything you say might be used againt you in a court of law. May you have your day in court self-proclaimed fisadi.
 
Back
Top Bottom