500 Business Ideas (Mawazo ya Biashara 500)

Asante mzeee
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aina 50 ya ONLINE BUSINESSES Platforms Unazoweza Anzisha TZ na Uka-Dominate Soko
 
Kuna kitu tumekigundua kwa watanzania walio wengi ...
1. Kwa kuwa watanzania wamezoea kuibiwa kila anapoona fursa yoyote jambo la kwanza anawaza kuibiwa ... aonavyo mtu ndani mwake ndivyo alivyo.

2. Siasa nyingi matendo kidogo - wengi wanawaza siasa balada la kuwaza kutenda.

Ushauri wangu ni kwamba ... ukiona fursa,,, ifanyie mkakati - baada ya mkakati anza kuifanyia kazi.

Kuna kijana mmoja Mzanzibar ... yeye baada ya kukutana na bandiko hili badala ya kupiga simu au kutuma SMS alifunga safari na kuja ofisini ili ajiridhishe kama kweli ofisi ipo au la!

Baada ya hapo .. ninapoandika hivi sasa anazalisha tomato sauce, Chilli Sauce na sasa anajipanga kuingia kwenye ufugaji wa kuku kibiashara.

Tatizo la wabongo wengi ni kwamba mtu anakuwa hana mtaji wowote ila maneno mengi tu. Na ninaposema mtaji simaanishi mtaji pesa. Kuna mtaji mawazo, mtaji hali na mtaji pesa. Sasa kama huna chochote kati ya hivi vitatu ndo unakuwa huna mtaji jumla.

Sisi tunaendelea kufanya kazi na wale wenye kuamini kwamba inawezekana. Wasioamini nao pia wako sahihi.
 
Jambo jingine ... jamani Kanda ya Ziwa vijana mmelala sana. Wengi wanaojitokeza ni kutoka Kusini na Kaskazini ... mmelizika na wingi wa chakula au nini?
 
Weka na mtaji wa kuanzia kwa kila biashara maana naona mnakopi na kupest habari ile ile kila mwezi boresha kidogo kabla hujapost kwa kuongezea nyama.
Ni kweli kabisa hyo orodha ya biashara ni ya zamani sana na haiendi na wakati.
Kwa mfano huwez kumshaur mtu kipindi hiki afanye biashara ya taxi wakati soko lake limeuliwa na Bajaj pamoja na bodaboda.
 
Ni kweli kabisa hyo orodha ya biashara ni ya zamani sana na haiendi na wakati.
Kwa mfano huwez kumshaur mtu kipindi hiki afanye biashara ya taxi wakati soko lake limeuliwa na Bajaj pamoja na bodaboda.
Vp kuhusu taxify na uba.

Huoni kwamba unaweza chukua wazo ambalo ni outdated na kulifanyia tathmini,

na kucheki alternative na namna ya kuli-update kuendana na mazingira ya sasa kama ilivyo kwa taxify?

Ukipata muda soma hiki kitabu cha chini kitafukirisha jinsi ya kufanya biashara ambayo inaonekana kuwa imepitwa.

lkn matokeo unaweza ukafanikiwa kwa kufikiria katika angle nyingine.
 

Attachments

Taxify na uba hailipi inanyonya sana.
Imagine Jana nilikuwa na mgeni wangu alitoka mkoani Sasa alikuwa na mizigo mingi.
Basi akaita gari ya uba alichoniambia kuhusu nauli yake nilichoka.
Eti kutoka Tegeta hadi mbagala nauli ni elfu 10.
Wakati miaka minne nyuma ilikuwa hata kwa elfu 50 huwezi kupelekwa.
Mimi nilikuwa nakodi taxi miaka minne nyuma kutoka Tegeta hadi airport kwa elfu 70 nikimpata dereva tunayefahamiana ndio huwa namuomba anisaidie kwa elfu 50.
Sasa leo hii utaambiwa elfu 10.
 
Ni kweli kabisa hyo orodha ya biashara ni ya zamani sana na haiendi na wakati.
Kwa mfano huwez kumshaur mtu kipindi hiki afanye biashara ya taxi wakati soko lake limeuliwa na Bajaj pamoja na bodaboda.
Usilaze bongo yako, unataka kunambia tax siku hizi hazifanyi kazi? Inategemea umejipangaje kukabiliana na washindani wako.
 
Kama kuna mtu atahitaji hiyo document aniambie, ni vyema ukaipakua na ukajisomea mwenyewe..

Hakika ziko vizuri mno..
 
Usilaze bongo yako, unataka kunambia tax siku hizi hazifanyi kazi? Inategemea umejipangaje kukabiliana na washindani wako.
Utajipangaje mkuu?wakati hao uba Bei zao ni za chini sana.
So unataka kuniambia kwamba taxi zako zitakuwa ni nzuri kuliko za uba?haya nauli ya kutoka Tegeta hadi mbagala ni sh. Elfu 10.
Ww utafanya kwa Bei gani ili usipate hasara,na ili usikose wateja?
 
Makomberegan@gmail.com
 
Huyu jamaa kaiba mawazo ya watu ndio kaweka hapa, nita attach hicho kitabu hapa ili wote mnufaike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…